MWAKA WA KUANZA NA MAENDELEO: TAWI LA YANGA MANISPAA YA KAHAMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 4 August 2024

MWAKA WA KUANZA NA MAENDELEO: TAWI LA YANGA MANISPAA YA KAHAMA

 



Tawi la Yanga la Manispaa ya Kahama lilianzishwa mwaka 2000 na kutambulika rasmi mwaka 2022 kwa kupokea cheti cha Tawi.


Tawi hilo lina wanachama zaidi ya 400 na lina mpango wa kuanzisha SACCOs na akaunti maalum, ambayo itarahisisha upatikanaji wa mikopo kwa wanachama.


Katika hafla ya kujipongeza kwa kuwa viongozi wa kitaifa katika usajili wa wanachama mwezi wa sabailiyofanyolika katika ukumbi wa Afrikan lounge Mbunge wa Ushetu, Emanuel Cherehen, alitoa ahadi ya kushirikiana na tawi hilo ili kuhakikisha SACCOs inasajiliwa haraka.


Mwenyekiti wa Tawi la Yanga, Sebastian Mashinji, aliwapongeza wanachama kwa kujisajili, akisisitiza kuwa hatua hii itasaidia kuongeza mapato ya chama.




Pia hafla hiyo iliambatana na uchangiaji wa maendeleo ya tawi ambapo wamekusanya zaidi ya shilingi laki saba




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso