eGA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Uongozi ya TEHAMA INEC NKUMBI 20:43 0 Na Mwandishi wetu, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wameendesha mafunzo ... Read more »
VIJIJI VYOTE NEWALA VIMEFIKIWA NA UMEME - MHE. KAPINGA NKUMBI 13:47 0 📌 *Asisitiza dhamira ya Serikali ni kupeleka umeme maeneo yote* Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo ... Read more »
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2024 NKUMBI 12:46 0 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2024 yametangazwa Tazama Hapa MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2024 Read more »
DKT. BITEKO AIPONGEZA REA UTEKELEZAJI MIRADI YA NISHATI NKUMBI 11:40 0 📌 *Ni ya upelekaji umeme kwenye vijiji, vitongoji na Nishati Jadidifu* 📌 *Yawa kinara matokeo ya tathmini ya utendaji kazi kwa Taasisi za... Read more »
DKT.BITEKO ATAKA UMOJA, USHIRIKIANO NA UBUNIFU TAASISI ZA NISHATI NKUMBI 20:48 0 📌 *Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi* 📌 *Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida ana... Read more »
MAJALIWA ATETA NA WAZIRI WA UCHUMI WA URUSI NKUMBI 17:45 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi, Bw. Maxim Reshetnikov na kujadiliana naye mas... Read more »
TARURA KATAVI YABORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NKUMBI 17:35 0 Katavi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivu... Read more »
RC MACHA AKABIDHI GARI JIPYA KWA RUWASA MKOA WA SHINYANGA NKUMBI 16:36 0 Na. Paul Kasembo, SHY RS. MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amemkabidhi gari jipya STN 2943 Mhandisi Julieth Payovela ambaye ni... Read more »