YANGA YABEBA KOMBE LA TOYOTA AFRIKA KUSINI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 28 July 2024

YANGA YABEBA KOMBE LA TOYOTA AFRIKA KUSINI




NA EMMANUEL MBATILO

KLABU ya Yanga imefanikiwa kubeba Kombe la TOYOTA nchini Afrika Kusini ambapo Yanga walialikwa kucheza na timu ya Kaizer Chiefs.

Yanga Sc imefanikiwa kubeba kombe hilo mara baada ya kuifunga Kaizer Chiefs mabao 4-0 kwenye mchezo huo.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Aziz Ki ambaye amefunga mabao mawili, Mzize pamoja na Prince Dube.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso