WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI NDANI YA MKOA WA SHINYANGA, HAKIKISHENI MASOKO YOTE YANAKUWA SAFI WAKATI WOTE - RC MACHA.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote ndani ya Mkoa wa Shinyanga kuhakikisha kuwa ...