Post Top Ad
Sunday 23 June 2024
Saturday 22 June 2024
TANESCO YAWEZESHA KUANZA KWA UJENZI WA TUTA LA MTO LUMEMO
Na Shamu Lameck, Ifakara Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa tuta la kuzuia maji ya mto lumemo ulio...
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IMEKABIDHIWA KOMBE NA CHETI BAADA YA KUIBUKA WASHINDI UTOAJI TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo imekabidhiwa Kikombe na Cheti baada ya Kuibuka mshindi wa pili katika utoaji wa taarifa kwa Umma katik...
UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 20 JULAI, 2024 KIGOMA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na waandishi wa Habari mkoani Kigoma l...
IMF YAIDHINISHIA TANZANIA SH. TRILIONI 2.46 KUSAIDIA BAJETI NA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) litaipatia Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 935.6 (sawa na shilingi trilioni 2.46), ambapo ka...
Friday 21 June 2024
NSSF YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA ATE, YAZUNGUMZIA MSAMAHA WA TOZO NA MATUMIZI YA TEHAMA
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umeshiriki mkutano mkuu wa 65 wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE). Mkutano huo ulifunguliwa tar...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC
Waziri Kassim Majaliwa Leo Juni 21, 2024 amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jim...
SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI
*📌 Kapinga asema vitongoji vyote vitasambaziwa umeme* 📌 *Vituo vya kupoza umeme kujengwa Kilosa, Mbinga na Hanang* 📌 *Vitongoji 33,000 v...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.