UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 20 JULAI, 2024 KIGOMA NKUMBI 16:27 0 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na waandishi wa Habari mkoani Kigoma l... Read more »
IMF YAIDHINISHIA TANZANIA SH. TRILIONI 2.46 KUSAIDIA BAJETI NA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI NKUMBI 10:23 0 Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) litaipatia Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 935.6 (sawa na shilingi trilioni 2.46), ambapo ka... Read more »
NSSF YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA ATE, YAZUNGUMZIA MSAMAHA WA TOZO NA MATUMIZI YA TEHAMA NKUMBI 22:12 0 Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umeshiriki mkutano mkuu wa 65 wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE). Mkutano huo ulifunguliwa tar... Read more »
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC NKUMBI 17:44 0 Waziri Kassim Majaliwa Leo Juni 21, 2024 amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Katibu wa Kamati ya CPC Jim... Read more »
SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI NKUMBI 16:55 0 *📌 Kapinga asema vitongoji vyote vitasambaziwa umeme* 📌 *Vituo vya kupoza umeme kujengwa Kilosa, Mbinga na Hanang* 📌 *Vitongoji 33,000 v... Read more »
WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WATAKIWA KUWATHAMINI WAALIMU WA MADRASA (HUHESO Digital Blog 16:03 0 Sheikh Ally Muhidiin Mkoyogole Mjumbe wa baraza la Ulamaa Bakwata Taifa katika baraza la idd lililofanyika katika Msikiti wa Mwendakulima ... Read more »
NSSF YAANZA KUWAONDOA WADAIWA SUGU KATIKA NYUMBA ZAKE NKUMBI 15:36 0 Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeanza zoezi la kuwaondoa wadaiwa sugu walioshindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wa ununuzi wa n... Read more »
WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA DHAHABU WAPEWA ELIMU KUHUSU UTOROSHWAJI WA MADINI NA KULIPA KODI- KAHAMA (HUHESO Digital Blog 11:27 0 Afisa madini mkazi wa mkoa wa kimadini Kahama Eng Joseph Kumburu wakati akizungumza na wachimbaji wadogo wadogo kwenye semina ya elimu ya ... Read more »