Post Top Ad
Friday 5 April 2024
Thursday 4 April 2024
AFARIKI KWA KUDONDOKEWA NA UKUTA MOROGORO
(HUHESO Digital Blog
16:24
0
Mtu mmoja Ibrahim Juma Ramadhan (44), amefariki baada ya kuangukiwa na ukuta wa ghorofa lililopo mtaa wa Sugume Kata ya Mwembesongo Manispaa...
WINGI WA MIZANI WAMKERA MBUNGE TABASAMU
(HUHESO Digital Blog
15:36
0
Mbunge wa Jimbo la Sengerema, Hamis Tabasamu amelalamikia umakini mdogo wa upimaji magari barabarani na kuitaka Wizara ya Ujenzi kuja na maj...
Mbunge alia na mafao kwa wastaafu
(HUHESO Digital Blog
15:15
0
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, amesema bado kuna malalamiko mengi ya watumishi wa umma kuhusu malipo ya mafao yao kup...
ASHA AHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUMBAKA MVULANA WA MIAKA 15 MTWARA
(HUHESO Digital Blog
14:56
0
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Ismail Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kujihusi...
DCEA YAFANIKIWA KUKAMATA JUMLA 54, 506.553 KG YA DAWA ZA KULEVYA
(HUHESO Digital Blog
14:46
0
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Aretas Lyimo akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za D...
Samia amsifu Makonda utendaji CCM
(HUHESO Digital Blog
14:35
0
DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akisema kiongozi huyo amefanya kazi kwa ubora m...
Samia ataka viongozi wateule wapitie hoja za CAG
(HUHESO Digital Blog
14:31
0
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuhakikisha wanapitia na kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (C...
UBELGIJI, URENO ZAPANDA VIWANGO VYA FIFA UINGEREZA NA UHOLANZI WASHUKA.
(HUHESO Digital Blog
14:22
0
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limetoa orodha ya timu 10 za mataifa amblimbali zilizo katika viwango bora. Katika orodha hiyo...
Futari iliyoandaliwa na Biden yasusiwa
(HUHESO Digital Blog
13:37
0
Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhan umesusiwa, huku vikundi vya Waislamu vikisusia na kuandaa maandamano ya ...
WATENDAJI WAZEMBE TANESCO KUANZA KUCHUKULIWA HATUA KILA MWEZI – DKT. BITEKO
(HUHESO Digital Blog
13:30
0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika ...
BALOZI KASIKE ATEMBELEWA NA BALOZI WA JAMHURI YA RWANDA
(HUHESO Digital Blog
13:29
0
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Msumbiji alitembelewa na Mhe. Ndamage Donat, Balozi wa Jamhuri ya Rwanda ...
Samia ateua viongozi Mahakama Kuu
(HUHESO Digital Blog
10:41
0
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasili...
Wednesday 3 April 2024
Breaking News : AMOS MAKALLA ABEBA MIKOBA YA MAKONDA CCM, MONGELA AMRITHI ANAMRINGI MACHA, HAPI APELEKWA WAZAZI, JOKETI UVCCM
(HUHESO Digital Blog
18:57
0
Amos Makala John Mongella Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 Aprili, 2023 jijini Dar es Salaam, katika...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.