Mbunge alia na mafao kwa wastaafu (HUHESO Digital Blog 15:15 0 Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, amesema bado kuna malalamiko mengi ya watumishi wa umma kuhusu malipo ya mafao yao kup... Read more »
ASHA AHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUMBAKA MVULANA WA MIAKA 15 MTWARA (HUHESO Digital Blog 14:56 0 Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Ismail Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kujihusi... Read more »
DCEA YAFANIKIWA KUKAMATA JUMLA 54, 506.553 KG YA DAWA ZA KULEVYA (HUHESO Digital Blog 14:46 0 Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Aretas Lyimo akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za D... Read more »
Samia amsifu Makonda utendaji CCM (HUHESO Digital Blog 14:35 0 DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akisema kiongozi huyo amefanya kazi kwa ubora m... Read more »
Samia ataka viongozi wateule wapitie hoja za CAG (HUHESO Digital Blog 14:31 0 RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuhakikisha wanapitia na kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (C... Read more »
UBELGIJI, URENO ZAPANDA VIWANGO VYA FIFA UINGEREZA NA UHOLANZI WASHUKA. (HUHESO Digital Blog 14:22 0 Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limetoa orodha ya timu 10 za mataifa amblimbali zilizo katika viwango bora. Katika orodha hiyo... Read more »
Futari iliyoandaliwa na Biden yasusiwa (HUHESO Digital Blog 13:37 0 Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhan umesusiwa, huku vikundi vya Waislamu vikisusia na kuandaa maandamano ya ... Read more »
WATENDAJI WAZEMBE TANESCO KUANZA KUCHUKULIWA HATUA KILA MWEZI – DKT. BITEKO (HUHESO Digital Blog 13:30 0 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika ... Read more »
BALOZI KASIKE ATEMBELEWA NA BALOZI WA JAMHURI YA RWANDA (HUHESO Digital Blog 13:29 0 Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Msumbiji alitembelewa na Mhe. Ndamage Donat, Balozi wa Jamhuri ya Rwanda ... Read more »
Samia ateua viongozi Mahakama Kuu (HUHESO Digital Blog 10:41 0 RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasili... Read more »
Breaking News : AMOS MAKALLA ABEBA MIKOBA YA MAKONDA CCM, MONGELA AMRITHI ANAMRINGI MACHA, HAPI APELEKWA WAZAZI, JOKETI UVCCM (HUHESO Digital Blog 18:57 0 Amos Makala John Mongella Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 Aprili, 2023 jijini Dar es Salaam, katika... Read more »
SERIKALI YATAJA SABABU ZA KUFUTA LESENI MADUKA YA FEDHA (HUHESO Digital Blog 16:57 0 Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha ... Read more »
ICRA yajivunia kuidhinishwa na Benki Kuu (HUHESO Digital Blog 16:40 0 WAKALA wa Ukadiriaji (ICRA), imesema inajivunia kuidhinishwa kwake kama wakala wa kwanza wa kutathmini mikopo Afrika Mashariki iliyoidhinish... Read more »
Pacome, Aucho, Yao ndani Yanga ikiifuata Mamelodi (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi yao dhidi ya Mamelodi Sundowns itakuwa ngumu kutokana na kila timu inatamani kufuzu hatua ... Read more »