RAIS DKT. SAMIA APONGEZWA KUENDELEZA MIRADI YA KIMKAKATI (HUHESO Digital Blog 16:54 0 Rais Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa juhudi kubwa anazozionesha za kuruhusu kuendelea ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati, ... Read more »
SERIKALI YASAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA-ARUSHA (HUHESO Digital Blog 14:22 0 SERIKALI imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan utakaojengwa jijini Arusha na kugharimu Sh bilioni 286. Akishuhudia uti... Read more »
KAYA 77 ZENYE WATU 463 ZAAGWA NGORONGORO (HUHESO Digital Blog 14:15 0 KAYA 77 zenye watu 463 na mifugo 1,408 waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomera wameagwa leo katika ofisi za mamlaka ... Read more »
MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA GEITA PENEZA NI MCHUNGAJI MWEMA LAZIMA WAMFUATE WAFUASI WAKE (HUHESO Digital Blog 14:10 0 Kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa mhasibu wa kanda ya ziwa wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ,Upendo Furaha Peneza na kurudi chama ... Read more »
POLISI KUENDELEA KUWABANA WANAVUNJA SHERIA,WANANCHI WANAOMBA OPERESHENI 3D IENDELE (HUHESO Digital Blog 14:07 0 Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Kimeendelea na operesheni ya kutoa elimu na kuwakamata wale wote wanaoendelea kuvunja sheria z... Read more »
SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI (HUHESO Digital Blog 13:19 0 Serikali imeahidi kutoa kipaumbele kwenye suala la changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa madini nchini, ili kuiwezesha sekta hiyo kut... Read more »
MCHENGERWA AIPA DART MIEZ SABA KUPATA MWEKEZAJI BINAFSI (HUHESO Digital Blog 12:46 0 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa ameielekeza Wakala wa Mabasi yaendayo hara... Read more »
VIJANA KUWENI CHACHU YA KULETA MAENDELEO – RC MACHA (HUHESO Digital Blog 07:06 0 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amesema vijana ni nguvu kazi ya Taifa hivyo wana w... Read more »