STEVE NYERERE AFICHUA MPANGO WA KUMWEKEA SUMU ULIVYOSUKWA (HUHESO Digital Blog 14:54 0 Jina lake wengi walianza kulifahamu kutokana na kuigiza sauti za viongozi mbalimbali huku ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na mwanasiasa Aug... Read more »
MAREKANI YAPITISHA MUSWADA KUPIGA MARUFUKU TIKTOK (HUHESO Digital Blog 14:41 0 Wabunge wa Baraza la Wawakilishi nchini Marekani wamepitisha muswada wa sheria wa kupiga marufuku mtandao wa TikTok nchini humo, iwapo wamil... Read more »
JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA MTOTO WA KAKA YAKE (HUHESO Digital Blog 14:24 0 Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Rodick Msilwa (20) baada ya kumpata na hatia ya kumbaka mtoto wa kaka y... Read more »
TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi minne ya bilioni 1.55 (HUHESO Digital Blog 13:54 0 TAASISI ya Kuzuia na Kupambana ya Rushwa (TAKUKURU), mkoani Ruvuma imebaini mapungufu na kuchukua hatua katika miradi minne ya maendeleo yen... Read more »
ZINGATIENI MTINDO BORA WA MAISHA ILI KULINDA FIGO ZENU (HUHESO Digital Blog 13:38 0 Wakati Tanzania inaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Figo Duniani leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin ... Read more »
WATOTO MILION 11KUPATIWA MATONE YA VITAMINI A JUNI 2024 (HUHESO Digital Blog 12:54 0 Serikali kupitia Wizara afya imepokea vidonge vya matone ya Vitamini A milioni 22 kutoka kwa shirika la Nutritrion International kwa ajili y... Read more »
KUZALIANA TISHIO LA UKUAJI UCHUMI TANZANIA (HUHESO Digital Blog 11:37 0 Imeelezwa kuwa, Tanzania inakabiliwa na changamoto mbili za ukuaji wa uchumi ikiwamo kushindwa kutafsiri namna ya kupunguza umaskini na tati... Read more »
MKISEMA SINGIDA FG IMEYUMBA MNANIPA STRESS (HUHESO Digital Blog 11:18 0 Ofisa Habari Singida FG, Hussein Massanza afunguka baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba kwa mabao 3-1. Massanza amesema anapata ‘stresi’ ... Read more »
WAZIRI MKUU WA HAITI AJIUZURU USIKU WA MANANE (HUHESO Digital Blog 11:39 0 Waziri Mkuu wa Haiti amejiuzulu wadhifa wake usiku wa kuamkia leo Machi 12 kufuatia mzozo wa kisiasa na kiuchumi uliopelekea kuibuka makundi... Read more »
MAJALIWA AONGOZA MKUTANO MAPENDEKEZO YA BAJETI (HUHESO Digital Blog 11:28 0 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza Mkutano wa Wabunge wote wa kupokea Mapendekezo ya Serikali ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti y... Read more »
DAR, DOM, MWANZA NA ARUSHA KUFUNGIWA KAMERA (HUHESO Digital Blog 11:22 0 WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amekutana na Kikosikazi cha Miji Salama kinachoratibu na kusimamia utekelezaji wa mradi wa u... Read more »
ANAMRINGI ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 11:06 0 Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali huku akimteua Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)- Bara, Anamring... Read more »
CHRISTINA MNDEME ATEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS (HUHESO Digital Blog 10:34 0 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga, Christina Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Rais (... Read more »