WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MAENEO YAO (HUHESO Digital Blog 17:35 0 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka wananchi wa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kujitokeza kwa wingi kuomba maeneo ... Read more »
ZUCHU AOMBA RADHI BAADA YA KUFUNGIWA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 16:53 0 Msanii, Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu ameomba radhi mashabiki wake na jamii kwa ujumla baada ya kufungiwa na Baraza la Sanaa, Sensa, Fi... Read more »
ICC YATOA HATI KUKAMATWA MAKAMANDA WAKUU WA RUSSIA (HUHESO Digital Blog 16:37 0 Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa makamanda wakuu wa Russia, kwa tuhuma za uhalifu wa kivita nchini Ukrain... Read more »
CUBA NA TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI (HUHESO Digital Blog 12:51 0 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba, nchini Tanzan... Read more »
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA DKT. JAMES PETER MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI. (HUHESO Digital Blog 17:33 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya ... Read more »
GUDE GUDE NA WIMBO WAKE MPYA WA SHIDA (HUHESO Digital Blog 17:15 0 Usipite bila kuangalia ngoma kali ya Gudegude iitwayo shida Read more »
SONG KALI LA NONGO ODUJA - TWITOGAGWI (HUHESO Digital Blog 17:06 0 Angalia ngoma kali ya Nongo Oduja na wimbo wake mpya wa Twitogagwi Read more »
NDEGE ZAGONGANA ANGANI WAWILI WAFARIKI (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Watu wawili wamekufa kufuatia ajali ya ndege mbili zilizogongana angani na kuangukia katika mbuga ya kitaifa Nairobi, Kenya. Waliofariki wan... Read more »
MARUFUKU KULA MSIBANI (HUHESO Digital Blog 14:50 0 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk Yahaya Nawanda, amepiga marufuku watu kula kwenye misiba, kutokana na kuibuka tena kwa ugonjwa wa kipindupindu kat... Read more »
MIOYO YA WATANZANIA IMEGUBUKWA DHULMA (HUHESO Digital Blog 14:14 0 ''Katika mikoa 23 niliyotembea kwa awamu zote mbili, nimebaini dhulma katika sekta ya ardhi unayofanywa na matajiri na baadhi ya wat... Read more »
ZUCHU AFUNGIWA KUFANYA SHUGHURI ZA SANAA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 13:08 0 Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha sh... Read more »
BINTI WA MIAKA 16 AJERUHIWA KWA RISASI MKOANI MARA (HUHESO Digital Blog 11:27 0 Neema Omari (16), mkazi wa Kijiji cha Kewanja Wilaya ya Tarime mkoani Mara amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyere... Read more »
CHADEMA KUJIFUNGIA KUJADILI AZIMIO LA KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA (HUHESO Digital Blog 11:03 0 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kush... Read more »
SAGINI ATANGAZA SIKU 14 KUONDOA NAMBA ZA 3D, MADEREVA WA SERIKALI KUKIONA (HUHESO Digital Blog 10:50 0 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa... Read more »