TANZANIA, NORWAY WAKUTANA KUJADILI MABORESHO SEKTA YA AFYA NCHINI NKUMBI 19:59 0 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amekutana na kujadiliana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tone Tinnes, kuhusu juhudi za... Read more »
TANZANIA NA JAPAN ZASAINI MKATABA KUENDELEZA KILIMO NKUMBI 19:22 0 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takrib... Read more »
WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA JAPAN NKUMBI 17:13 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 14, 2025 amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa Fujii Hisayuki ... Read more »
MEGAWATI 30 ZA JOTOARDHI KUINGIA KWENYE GRIDI IFIKAPO 2026/2027 -DKT KAZUNGU NKUMBI 10:31 0 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt Khatibu Kazungu akizungumza kwenye mkutano mkuu wa muunganiko wa nchi kwenye masuala ya jotoardhi ... Read more »
KAMATI YA BUNGE NISHATI NA MADINI KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI ZAMBIA NKUMBI 16:51 0 *Zambia* Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiongozwa na Mbunge wa Geita Mjini anayemwakilisha Mwenyekit... Read more »
DIPLOMASIA YA RAIS SAMIA INAWALETA WAKUU WA NCHI AFRIKA KUSHIRIKI MKUTANO WA M300 -DKT. BITEKO NKUMBI 19:22 0 📌 *Asema mafanikio ya Sekta ya Nishati nayo yameibeba Tanzania Mkutano wa M300* 📌 *Vijiji vyote Tanzania vyafikishiwa umeme* 📌 *Ataja fai... Read more »
DKT KAZUNGU AINADI TANZANIA MIRADI YA NISHATI JADIDIFU UAE NKUMBI 19:17 0 📌Ashiriki mkutano wa 15 wa baraza la Kimataifa la wakala wa Nishati jadidifu IRENA 📌 Asema miradi ya kuzalisha umeme kwa kutumia vyanzo ... Read more »
MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA YAJIPANGA KUONGEZA ELIMU YA SHERIA KWA WANANCHI KUPITIA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA TANZANIA NKUMBI 22:49 0 Hakimu mkazi mfawidhi mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kahama Edmund Kente akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao na wada... Read more »
RC MACHA AONGOZA KIKAO KAZI NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA SHINYANGA KUBORESHA UTENDAJI, ATOA MAAGIZO KILA SEKTA NKUMBI 19:39 0 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, akizungumza leo Alhamisi Januari 9, 2025, wakati akifungua kikao kazi kilichoshirikisha W... Read more »