RAIS SAMIA ATOA POLE KUFUATIA KIFO CHA KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI, PAPA FRANCISKO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday, 21 April 2025

RAIS SAMIA ATOA POLE KUFUATIA KIFO CHA KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI, PAPA FRANCISKO




"Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake kama mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza ustawi na maendeleo ya watu pamoja na kudumisha amani.





Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatuma salamu za pole kwa waumini wote wa Kanisa Katoliki hapa nchini na duniani kote.



Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi".



Amina.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso