UGONJWA WA TEZI DUME NA MATIBABU YAKE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 18 March 2025

UGONJWA WA TEZI DUME NA MATIBABU YAKE

 TATIZO LA KUKUA KWA TEZI DUME LIMEONGEZEKA SANA.

🐫 UMRI, HORMONES NA VYAKULA NI VIGEZO VIKUU.

🐫 KWA WANAUME KUANZIA MIAKA 40+ NI KAWAIDA. 

🐫UPASUAJI UNA MADHARA YAKE MAKUBWA TU.

🐫 BIDHAA ZA BF SUMA ZITAKUONDOLEA TATIZO BILA KUHITAJI UPASUAJI.



🪼 KUKUA KWA TEZI (BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA)
🦠Pia huitwa enlarged prostate.
🦠Prostate ni gland ndogo ambayo Husaidia kutengeneza majimaji ( semen )
🦠 Prostate inapatikana eneo la chini ya kibofu cha mkojo ( bladder )
🦠Huanza kukua kadri umri unavyokuwa mkubwa. (get older )
🦠Tezi iliyotanuka husababisha dalili ambazo ni usumbufu kama vile,
✅ Kushindwa kutoa mkojo nje ya kibofu 
✅Pia husababisha tatizo la Figo(kidney) , kibofu( bladder ) na Njia ya mkojo( urinary tract )



🐫 DALILI ZINGINE ZINAZOFANANA NA ZA TEZI KUKUA (OTHERS)
🦠 UTI
🦠Tezi kuvimba ( inflamed prostate )
🦠Njia ya mkojo kuwa nyembamba ( Narrowing urethra)
🦠Kovu kwenye kibofu ( scar in the bladder)
🦠Mawe kwenye kibofu au figo ( kidney or bladder stones)
🦠Tatizo la nerve zinasosaidia kibofu ( bladder nerve )
🦠Saratani ya Tezi dume or ya kibofu ( prostate cancer or bladder)


🐫 Matibabu yako ya aina nyingi sana yakiwemo ya kipewa vidonge hospital ( medicine ), upasuaji ( surgery) na taratibu zingine.
🐫NA yote hayo hutegemea mambo mbalimbali kama vile dalili, ukubwa wa tatizo, na mambo mengi ya kiafya.
🐫TIBA ya uhakika inayotolewa na BF SUMA NI kuhakikisha Tezi inatibika na kupona bila kufanyiwa upasuaji.


🐞 DALILI NYINGINE HUSABABISHWA NA MATUMIZI YA MADAWA (MEDICATIONS)
✅Dawa za kuondoa maumivu ( opioid )
✅ Dawa za allergies na baridi ( cold and allergy medicines)
✅Dawa za msongo au Mfadhaiko ( tricyclic antidepressants)


🪼 NINI HUTOKEA *(WHATS HAPPENING)
📌 Tezi dume iko eneo la chini ya kibofu ( bladder )
📌Kuna Mirija ( urethra ) unaotoa mkojo kutoka kwenye kibofu kupitia uume (penis).
📌 Hichi kimrija ( urethra ) kimepita katikati ya ya prostate
📌 Wakati prostate inapokuwa kubwa husababisha kuzuia mkojo kupita kirahisi ( block urine flow )


🐜 VIHATARISHI VYA TEZI DUME (RISK FACTORS)
🕷️Umri (age ) Kukua kwa tezi time hushamiei zaidi kuanzia umri wa miaka 40+.
🕷️Historia ya Familia ( Family history )kuwa na ndugu wa damu wenye tatizo hili huwa ni moja ya kigezo.
🕷️Kisukari (diabetes ) na Ugonjwa wa moyo ( hypertension )Huongeza uhatari wa BPH. 
🕷️Mitindo ya Maisha :uzito mkubwa (obesity), kutokufanya mazoezi ( exercise )


🪼 MADHARA YA TEZI DUME (COMPLICATIONS)
✅Kushindwa kukojoa. ( urinary retention ).
 ✅UTI :Ukishindwa kutoa mkojo wote kwenye bladder unakaribisha Maambukizi kwenye Njia ya mkojo.
✅Uharibifu wa kibofu ( bladder damaged )kibofu kisipomaliza mkojo kitatanuka na kuwa dhaifu ( stretching and weaken) 
✅matokeo yake kuta za misuli haziwezi kujikunja kuusukuma mkojo nje. na kufanya mkojo ubaki kwenye kibofu.


✅.Mawe ya kwenye kibofu ( Bladder stones ) hili ni tatizo linalotokea a na kushindwa kumaliza mkojo wote kwenye kibofu.
✅Mawe ya kibofu husababisha kuumwa ( illness ), miwasho ( bladder irritation ), damu kwenye mkojo ( blood in urine ) na kuzuia mtiririko wa mkojo ( block urine flow ).
✅Tatizo la Figo
✅ Tatizo la prostatitis na hatimae prostate cancer)


✅Uharibu Figo ( kidney damage ):shinikizo ( pressure ) kubwa kwenye kibofu kwa kushindwa kuusukuma nje mkojo huaribu Figo au kibofu kupata Maambukizi yatakayofika kwenye Figo.


🐫 KUZUIA KUPATA TEZI DUME
✅ Jenga Tabia ya kuimarisha afya( Healthy habits ) kwa kufanya mazoezi( regular exercise) 

✅ Kula mboga mboga na matunda  (eating vegetables and fruits )

 ✅kuwa Makini na vyakula vyenye Mafuta mengi ( keeping an eye on dietary fat) 

✅ zitakusaidia kupunguza hatari ya kupata BPH na kupunguza hatari ya kipungukiwa nguvu za kiume (erectile dysfunction, diabetes and heart diseases )

✅ TUMIA BIDHAA ZA BF SUMA BILA KUFANYA UPASUAJI

📌 BF SUMA ITAKUPA SULUHISHO BORA KABISA kuepukana na tatizo la TEZI DUME hivyo kwa maelezo zaidi na matibabu yake tafadhali tuwasiliane kwa namba zifuatazo:-

0753444840 Pia inapatikana Whatsapp

0787360512 Pia inapatikana Whatsapp

  • Ofisi ipo Kahama Bijampola kwenye jengo la sheli ya Total Enegies
  • Ofisi ya Shinyanga ipo jengo NHC mkabala na Rwezahula Guest house floor ya nne
  • Ofisi ya mwanza ipo Mahakama ya Mwanzo nyuma ya CCM Mkoa wa Mwanza.

Karibu upate huduma bora na yenye uhakika kumbuka unaweza kupata bidhaa zote Tanzania bara na Visiwani bila shida yeyote na kwa uaminifu mkubwa sana, tunao wataalam waliobobea kwenye magonjwa yasiyo ambukiza na suluhisho lake lipo bila upasuaji.


........Karibu tukuhudumie........


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso