UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES MELLITUS)
- Kisukari ni ugonjwa ambao humsababishia mtu kuwa na kiwango kikubwa cha sukari katika damu na kushindwa kuitumia sukari hiyo ipasavyo ili kumpa nguvu.
- na hivyo sukari hiyo kutoka nje ya mwili wa mgonjwa kupitia njia ya mkojo.
- Ugonjwa huu pia huitwa Diabetes Mellitus, maneno yanayotokana na kigiriki na kilatini.
- Diabetes linatokana na kigiriki likimaanisha kijibomba kinachonyonya maji na mellitus linatokana na neno la kilatini “ Mel ” lenye maana ya asali, hivyo diabetes mellitus ni “ kunyonya maji yenye utamu kama asali”
- Baada ya madaktari wa enzi hizo kugundua kuwa mkojo na damu ya mgonjwa wa kisukari vilikuwa na glucose kwa wingi sana.
- Wachina wa zamani nao waligundua kuwa mchwa walijaa kwa kwingi kwenye eneo la mkojo wa mtu mwenye kisukari kutokana na mkojo huo kuwa mtamu na wakatoa neno “ Sweet Urine Disease ” -Ugonjwa wa kutoa mkojo mtamu.
TATIZO LA
KISUKARI (DIABETES MELLITUS)
- Kisukari (Diabetes Mellitus ) ni kundi la ugonjwa ambao una athiri mwenendo wa Matumizi ya sukari ya kwenye damu ( glucose ).
- Glucose ni chanzo kikuu na muhimu cha nishati (energy) kwa ajili ya cell ambazo hutengeneza misuli na tissue.
- Pia ni chanzo kikuu cha kulisha ubongo (brain)
- Kinachosababisha hasa Kisukari ( diabetes ) hutegemea na chanzo.
- Bila kuangalia aina ya kisukari mtu alichonacho tatizo hukupelekea kuwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu ( excess sugar )
- Sukari ya ziada kwenye damu hupelekea tatizo kubwa sana la afya( serious health problems)
- Hali ya Kisukari sugu ( chronic diabetes) huusisha :
- Kisukari aina 1( diabetes type 1 )
- Kisukari aina ya 2 (diabetes type 2)
- Hali zingine za kuelekea kwenye Kisukari huusisha:
- Kisukari cha mwanzo (Prediabetes)
- Kisukari cha ujauzito (gestational diabetes)
- Kisukari cha mwanzo Hutokea wakati kiwango cha sukari kwenye damu ni kikubwa kuliko kawaida.
- Lakini sukari kwenye damu haitoshelezi kuitwa Kisukari (diabetes).
- Kisukari cha mwanzo (prediabetes) hupelekea mtu kupata Kisukari kama Hatua hazikuchukuliwa kuzuia.
- Kisukari cha ujauzito (gestational diabetes) hutokea wakati wa Ujauzito (pregnancy).
- Kinaweza kutoendelea Baada ya Mtoto kuzaliwa au mama kujifunga.
DALILI ZA KISUKARI (SYMPTOMS)
- Dalili za Kisukari hutegemea kiasi gani cha sukari kwenye damu ipo.
- Baadhi ya watu hasa wenye prediabetes, gestational na type 2 diabetes, anaweza was iwe na dalili.
- Kisukari Type 1, dalili zake huja haraka sana na zinaumiza (more severe)
BAADHI YA DALILI ZA KISUKARI DIABETES TYPE 1 na 2
✅Kusikia kiu kikali ( unusual thirsty
)
✅ Kukojoa kojoa sana( urinating often
)
✅ Kupoteza Uzito
✅ Uwepo wa ketones kwenye mkojo.
Ketones ni mabaki yanayotokana na kuvunjavunja kwa
misuli na Mafuta kunakotokea wakati Hakuna insulin .
✅Kujisikia kuchoka na dhaifu ( tired
and weak )
✅ Mabadiliko ya mood
✅Uoni hafifu (blurry vision)
✅Kutokupona vidonda
✅Kupata Maambukizi ( fizi, ngozi, na
UKENI )
📌 Kisukari Type 1 huanza kwenye
umri wowote.
📌 Lakini hasa huanza kipindi
cha utotoni ( childhood ) au miaka ya udogo ( teen age )
📌Kisukari Type 2 huanza umri
wowote,
📌Kisukari Type 2 ni kawaida kwa
watu wenye umri wa kuanzia miaka 40 +.
📌 Ingawa Kisukari type 2 kwa
watoto kinashika sana kasi miaka ya hivi Karibuni.
SABABU ZA KISUKARI (CAUSES)
📌 Kuelewa Kisukari ni vyema na
muhimu Kuelewa jinsi gani mwili hutumia glucose
📌 JINSI GANI INSULIN HUFANYA
KAZI
🦠Insulin ni hormone ambayo
Hutokea kwenye sehemu ya tumbo inayoitwa kongosho ( Pancreas )
🦠Kongosho ( pancreas )
hutiririsha insulin kwenye mzunguko wa damu.
🦠Insulin huzungusha, na
kuruhusu glucose iingie kwenye cell.
🦠Insulin hupunguza kiasi cha
sukari kwenye mzunguko wa damu.
🦠Kiwango cha Sukari kwenye damu
kikishuka, hapo ndio kongosho hutoa insulin.
KAZI YA GLUCOSE NI NINI
Glucose ni sukari kwenye damu na ni chanzo cha nishati kwenye cell ambazo hutengeneza misuli na tishu (muscles na tissues)
Glucose Hupati kana kutoka kwenye vyanzo viwili (2)
- Chakula
(food)
- INI
(Liver)
- Glucose
huzama kwenye mzunguko wa damu, ambapo huingia kwenye cell kwa msaada wa
insulin.
- INI
(Liver) hutunza na kutengeneza glucose, Wakati kiwango cha glucose kikiwa chini
yaani Ukiwa hujala kitu,
- INI
huvunjavunja sukari iliyotunzwa (glycogen) kuwa glucose.
- Hii
Hufanya kiwango cha glucose kuwa kinachotakiwa (typical range)
- Kisababishi
hasa ya aina za Kisukari huwa haijulikani, vyovyote hivyo sukari hujijenga
kwenye mzunguko wa damu.
- Kwa
sababu kongosho ( pancreas ) haitoi insulin ya kutosha ( enough insulin )
- Aina
zote za Kisukari yaani type 1 na type 2 husababisha na mkusanyiko wa sababu za
Kijenetiki
( kigenetic )
Kimazingira
(environmental)
VIHATARISHI VYA KISUKARI (RISK FACTORS)
- Vihatarishi vya Kisukari hutegemea na aina ya kisukari.
- Historia ya Familia huwepo kwenye aina zote za Kisukari.
- Sababu za Kimazingira ( environmental factors )na za kijographia Huongeza uhatari wa Kisukari type 1
- Wakati mwingine watu wenye Kisukari Type 1 huwa Wana tatizo kwenye mfumo wa Kinga ya kisukari( auto antibodies).
- Kama una hizi auto antibodies, unakuwa kwenye hatari zaidi kupata Kisukari Type 1.
- Lakini sio lazima Ukiwa pia na hizi auto antibodies kuwa na Kisukari.
- Rangi na Koo( Race na ethnicity) huiamsha uwezekano wakubwa na Kisukari Type 2.
- Ingawa haijulikani kwa nini, watu weusi (black), Hispanic na wahindi Wekundu a waasia wako kwenye uhatari mkubwa.
- Kisukari cah mwanzo ( prediabetes ) na Kisukari cha ujauzito ( pregnancy ) ni visukari vya kawaida kwa watu wenye uzito mkubwa ( overweight au obesity)
MADHARA YA KISUKARI (COMPLICATIONS)
- Madhara ya kisukari hujijenga pole pole kwa muda mrefu.
- Unapokuwa na Kisukari kwa muda mrefu bila kukitibu na kudhibiti sukari unakuwa kwenye hatari kubwa ya madhara.
- Madhara ya kisukari huwa ni ya kudumu au kukupa kilema cha maisha ( life threatening )
- Dalili za Kisukari cha mwanzo hupelekea kupata Kisukari halisi.
- Madhara kiu Jumla ni haya:
- Uharibifu wa mishipa ya fahamu ( diabetic neuropathy)
- Sukari ikiwa nyingi hujeruhi kuta za mishipa midogo ya damu ( Capillaries ) ambayo hiboresha mishipa ya fahamu hasa miguuni ( peripheral )ambapo husababisha
- kuchomachoma (tingling)
- Ganzi (numbness)
- Kuungua au maumivu yanayoanzia Vidole vya miguu au mikono na kuelekea juu,baadae kusababisha ( gangrene )
- Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular disease) (coronary artery disease, maumivu ya kifua (angina), heart attack, stroke na kusinyaa kwa mishipa ya arteries (atherosclerosis
MADHARA YA KISUKARI (COMPLICATIONS)
- Madhara ya kisukari hujijenga pole pole kwa muda mrefu.
- Unapokuwa na Kisukari kwa muda mrefu bila kukitibu na kudhibiti sukari unakuwa kwenye hatari kubwa ya madhara.
- Madhara ya kisukari huwa ni ya kudumu au kukupa kilema cha maisha (life threatening)
- Dalili za Kisukari cha mwanzo hupelekea kupata Kisukari halisi.
- Madhara kiu Jumla ni haya:
- Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular disease )(coronary artery disease, maumivu ya kifua (angina), heart attack, stroke na kusinyaa kwa mishipa ya arteries ( atherosclerosis )
- Uharibifu wa mishipa ya fahamu inayohusika bna mmeng'enyo ( digestion ) na kusababisha tatizo
- Kichefuchefu ( nausea )
- Kutapika ( vomiting )
- Kuharisha ( diarrhea )
- Kukosa Choo ( constipation )
- Kukosa nguvu ya KIUME ( erectile dysfunction)
- Uharibifu wa Figo ( diabetic nephropathy )
- Figo huwa na vimishipa vya damu ( million of tiny blood vessels) Zinazoitwa glomeri
- Glomeruli kazi yake kubwa ni kuchuja Uchafu kwenye damu ( filtration )
- Kisukari huaribu Huu mfumo ngumu wa uchujaji.
- Uharibu Ngozi na Mdomo ( skin and Mouth )
- Kisukari tatizo kubwa kwenye ngozi ikiwemo Maambukizi ya bacteria na Fangasi.
- Kisukari Uharibifu uwezo wa Kusikia (hearing impairment)
- Matatizo ya Kusikia ni kawaida kwa watu wenye Kisukari.
- Kisukari husababisha tatizo la Kupoteza kumbukumbu na kusahau ( Alzheimers disease)
- Kisukari Type 2 Huongeza uhatari wa kupata dementia kama vile Alzheimers disease.
KUZUIA AU KUJIKINGA NA KISUKARI
NI ngumu kuzuia Kisukari Type 1 lakini
- Unaweza kuzuia dalili za mwanzo za Kisukari (prediabetes, type 2, na gestational kwa Kubadilika mifumo ya ki maisha ( lifestyle choice)
- Kisukari Unaweza kukizua kwa
- Kula chakula Chenye Afya ( Eat healthy food )Kula chakula Chenye Mafuta kidogo, matunda, mboga mboga, na nafaka nzima na Kula aina tofauti usikinai.
- Ushughulishe mwili (more activities)
- Pata muda angalau wa Nusu saa wa kufanya mazoezi ya kawaida (aerobic activities)
- Punguza uzito wa ziada ( lose excess pound)
- Kupoteza angalau 7% ya uzito wako Mfano kama una kilo 90.7 punguza kilo 7 utapunguza hatari ya diabetes .
- Lakini usijaribu kupunguza uzito wakati wa Ujauzito.
📌 BF SUMA ITAKUPA SULUHISHO BORA KABISA kuepukana na tatizo la kisukari hivyo kwa maelezo zaidi na matibabu yake tafadhali tuwasiliane kwa namba zifuatazo:-
0753444840 Pia inapatikana Whatsapp
0787360512 Pia inapatikana Whatsapp
- Ofisi ipo Kahama Bijampola kwenye jengo la sheli ya Total Enegies
- Ofisi ya Shinyanga ipo jengo NHC mkabala na Rwezahula Guest house floor ya nne
- Ofisi ya mwanza ipo Mahakama ya Mwanzo nyuma ya CCM Mkoa wa Mwanza.
Karibu upate huduma bora na yenye uhakika kumbuka unaweza kupata bidhaa zote Tanzania bara na Visiwani bila shida yeyote na kwa uaminifu mkubwa sana, tunao wataalam waliobobea kwenye magonjwa yasiyo ambukiza na suluhisho lake lipo.
........Karibu tukuhudumie........
No comments:
Post a Comment