TATIZO LA CHANGO LA UZAZI (OVULATION DISORDER) - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday, 17 February 2025

TATIZO LA CHANGO LA UZAZI (OVULATION DISORDER)

  


TATIZO LA CHANGO LA UZAZI (OVULATION DISORDER)

  • Husababisha na mwanamke kushindwa kupata ujauzito.
  • Hata akipata Unaweza ukatoka na kuharibika.
  • Husababisha na homoni imbalances (hormonal Imbalance)
  • Huzalisha mkubwa wa Prolactin huzuia estrogen
  • Hedhi zisizo na mpangilio ni moja ya dalili.

 

CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke.

Humsababishia maumivu makali ya tumbo(abdominal pain) na kushindwa kupata ujauzito ( non conceived ) , au mimba kuharibika ( abortion ) kila zinapoingia.

Zipo aina nyingi za chango( Ovulation Disorder )

  • ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au
  • zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja.
  • mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder (O.D).


VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE (FEMALE REPRODUCTIVE ORGANS)

📌 Hujumuisha Mayai (Ovaries)

 📌 Mirija wa Mayai ( Fallopian tube )

📌Pango la kizazi ( Uterus)

📌 Mlango wa kizazi (Cervix)

📌 Uke ( Vagina )



  • OD ni moja ya matatizo ambayo husababisha UGUMBA kwa Wanawake (infertility)
  • Husababisha na matatizo ya usawa wa homoni za uzazi (reproductive hormones), upevushaji dhaifu  wa yai (ovulation disorder)
  • OD ni msumbuko (disturbance) kwenye uzalishaji wa yai (oocyte or Ovum) wakati wa mzunguko wa mwezi (menstrual cycle)

🐜Tatizo Hilo ni matokeo ya :

✅ Upungufu au udhaifu kwenye homoni ya hypothalamus

✅ Inaweza kuwa hyperthyroidism au hypothyroidism

✅Polycystic Ovary Syndrome (PCOS)

✅Yai kutokea mapema (premature ovarian failure)

✅Uzalishwaji mkubwa wa hormones ya Prolactin ( breath hormone)




DALILI ZA CHANGO LA UZAZI (OVULATION DISORDER SYMPTOMS)

  • Inategemea na sababu huyo udhaifu uko wapi na homoni inayoathiri upevushaji (ovulation)
  • UGUMBA (infertility)
  • Hedhi isiyo na mpangilio ( Irregular periods)
  • Hakuna hedhi ( absent periods)
  • Mabadiliko ya mood(wasiwasi, shinikizo na nervous)
  • Mabadiliko ya Uzito ( weight change ), kuongezeka uzito, kwa sababu ya hypothyroidism au Kupoteza Uzito kwa sababu ya hyperthyroidism .

 


CHANGO LA UZAZI HUANZAJE HUANZAJE

CHANZO CHA TATIZO

  • Matatizo ya chango la uzazi )) (ovulation disorder ) inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai
  • na kufanya yakue kwa wakati muafaka.
  • Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.( Irregular  periods)
  • Tatizo hili huanzia kwenye ubongo (brain) , ambapo sehemu inayohusika na uzalishaji wa homoni 
  • hushindwa kufanya kazi yake vizuri na hivyo kushindwa kudhibiti uzalishaji wa homoni za Follicle Stimulating Hormone (FSH) na Lutenizing Hormone (LH) .
  • ambazo ndizo zinazohusika na uzalishaji ( production ) na uchavushwaji (ovulation) wa mayai ya mwanamke katika viungo vyake vya uzazi.

 


  • Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa
  • au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi( sperm ) za kiume kwa ajili ya kurutubishwa. (fertilization)

 



SABABU YA TATIZO LA CHANGO LA UZAZI (CAUSES)

  • Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa
  • au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu  ya uzazi( sperm ) za kiume kwa ajili ya kurutubishwa. (fertilization))
  • Matumizi ya tumbaku ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha homoni za *mwanamke( estrogen na Prolactin ) kuvurugika na hivyo kupata tatizo hilo.
  • Kuziba kwa mirija( brockage of fallopian tubes ) ya uzazi
  • maambukizi ( infection ) katika via vya uzazi na
  • kufunga kwa shingo ya kizazi ( closed of cervix) ni sababu nyingine za tatizo hili

🐫 Chanzo kingine cha tatizo hili ni

  • Hyperplo-lactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya Prolactin kwa wingi ambayo ikizidi katika damu,
  • huzuia uzalishwaji wa homoni nyingine ya Oestrogen ambayo hutumika kuchochea uzalishaji wa mayai ya uzazi.
  • Wanawake wenye uzito mkubwa wanatajwa kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na chango la uzazi

 


🐡 DALILI ZA CHANGO LA UZAZI

📌 Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke ni

  • maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi ,
  • kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa , 
  • kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi
  • pamoja na kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
  • Pia kurugika kwa mzunguko wa hedhi ni dalili nyingine ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa takriban siku 35,(menohargia)
  • kubadilikabadilika kwa siku za hedhi au kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21 .


  • Dalili nyingine ni mwanamke kuwa na  hasira kali (Emotional) anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi, 
  • kupata michubuko kwenye sehemu zake za uke ,
  • kuchukia kushiriki tendo la ndoa
  • kupata uvimbe kwenye kizazi (fibroid) na
  • mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ( ectopic pregnancy)

 


 MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE

  • Yapo madhara mengi kwa mwanamke mwenye tatizo hili lakini kubwa, huwa ni vigumu kupata ujauzito
  • na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika na kutoka kwa rahisi na
  • kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo.

 

MATIBABU

  • Hakuna dawa za moja kwa moja zinazoweza kutibu tatizo hili hospitalini ,
  • Ambapo zilizopo nyingi huwa ni za kurekebisha mfumo wa homoni mwilini ,
  • Kama mwanamke amepata uvimbe, atapewa dawa za kuondoa uvimbe huo au kufanyiwa upasuaji na kama anapata maumivu makali kabla na wakati wa hedhi, atapewa dawa za kumaliza tatizo hilo.

📌 BF SUMA ITAKUPA SULUHISHO BORA KABISA kuepukana na upasuaji hivyo kwa maelezo zaidi na matibabu yake tafadhali tuwasiliane kwa namba zifuatazo:-

0755448022 Pia inapatikana Whatsapp

0689908724 Pia inapatikana Whatsapp

  • Ofisi ipo Kahama Bijampola kwenye jengo la sheli ya Total Enegies
  • Ofisi ya Shinyanga ipo jengo NHC mkabala na Rwezahula Guest house floor ya nne
  • Ofisi ya mwanza ipo Mahakama ya Mwanzo nyuma ya CCM Mkoa wa Mwanza.

Karibu upate huduma bora na yenye uhakika kumbuka unaweza kupata bidhaa zote Tanzania bara na Visiwani bila shida yeyote na kwa uaminifu mkubwa sana.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso