MATUKIO; HAFLA YA UZINDUZI USAMBAZAJI MITUNGI YA GESI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday, 27 February 2025

MATUKIO; HAFLA YA UZINDUZI USAMBAZAJI MITUNGI YA GESI

 


Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa usambazaji mitungi ya gesi ya kupikia na majiko banifu kwa bei ya ruzuku inayofanyika leo Februari 27, 2025 mkoani Tanga.


Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Rais Samia leo hii anazindua ugawaji wa mitungi ya gesi (LPG) kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.


#Samia amtua mama kuni kichwani

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso