CCM yapitisha Azimio Rais Samia mgombea urais CCM
Azimio la kupitisha majina ya wagombea (jina moja kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lingine kwa Zanzibar) wa kiti cha urais kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) limesomwa rasmi katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment