HUKUMU KESI YA DKT NAWANDA KUTOLEWA LEO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 29 November 2024

HUKUMU KESI YA DKT NAWANDA KUTOLEWA LEO





Mahakama kuu Kanda ya Mwanza inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 1883/2024 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda leo Novemba 29,2024.

Dkt Nawanda alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9,2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.











No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso