RAIS SAMIA AMEIPONGEZA YANGA KWA USHINDI DHIDI YA SIMBA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 19 October 2024

RAIS SAMIA AMEIPONGEZA YANGA KWA USHINDI DHIDI YA SIMBA




"Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wenu wa Ligi Kuu. #KariakooDerby


Nawatakia nyote kheri katika michezo yenu inayofuata. Endeleeni kutupa burudani huku Taifa likiendelea kuchapa kazi kwa amani, umoja, utulivu na mshikamano".




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso