RAIS SAMIA AKISHIRIKI MISA YA KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU J. K. NYERERE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 14 October 2024

RAIS SAMIA AKISHIRIKI MISA YA KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU J. K. NYERERE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza tarehe 14 Oktoba, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso