KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DK.NCHIMBI TAYARI AMAENGIA MANISPAA YA KAHAMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 10 October 2024

KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DK.NCHIMBI TAYARI AMAENGIA MANISPAA YA KAHAMA


Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi akiwasili ndani ya wilaya ya Kahama, kwa ajili ya ziara ya kuimarisha uhai wa chama,kuona miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.


Huu ni mwendelezo wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Dk.Nchimbi katika Mkoa wa Shinyanga,ambayo alianza jana Oktoba 9,2024.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso