Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, Makao Makuu ya Benki hiyo Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambapo walizungumzia kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Benki hiyo. Tazania ilisisitiza maombi yake ya kutaka Kiswahili kiwe sehemu ya lugha rasmi za mawasiliano katika mikutano ya Benki ya Dunia kutokana na umuhimu wake katika maendeleo ya Bara la Afrika na Duniani kwa ujumla. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, alikuwepo katika mazungumzo hayo.
Post Top Ad
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment