MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA. - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 21 September 2024

MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2024 amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani


Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso