KAMALA, TRUMP WAVUTANA KATIKA MDAHALO WAO KILA UPANDE WADAI UMEFANYA VIZURI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 11 September 2024

KAMALA, TRUMP WAVUTANA KATIKA MDAHALO WAO KILA UPANDE WADAI UMEFANYA VIZURI

MAREKANI: Wagombea wa Nafasi ya Urais, Kamala Harris wa Democratic na Donald Trump wa Republican wamekutana katika mdahalo kwa mara ya kwanza ikiwa ni wiki 8 kabla ya Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024 ambapo kila upande umetamba kuwa umefanya vizuri kuliko mwingine

Trump anasema “Harris ameahidi kufanya mambo mengi mazuri, kwanini hajafanya sasa? Wamekuwa katika uongozi kwa Miaka mitatu na nusu, wamekuwa na muda wa kufanya yote hayo aliyoahidi ikiwemo ajira lakini hawajafanya. Binafsi ulikuwa Mdahalo wangu bora.”

Harris amesema "Nitakuwa Rais ambaye nitalinda Haki za Msingi na Uhuru, ikiwemo Haki ya Mwanamke kufanya maamuzi yake na mwili wake na sio kuwa suala la Serikali kumwambia 

MAREKANI: Wagombea wa Nafasi ya Urais, Kamala Harris wa Democratic na Donald Trump wa Republican wamekutana katika mdahalo kwa mara ya kwanza ikiwa ni wiki 8 kabla ya Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024 ambapo kila upande umetamba kuwa umefanya vizuri kuliko mwingine

Trump anasema “Harris ameahidi kufanya mambo mengi mazuri, kwanini hajafanya sasa? Wamekuwa katika uongozi kwa Miaka mitatu na nusu, wamekuwa na muda wa kufanya yote hayo aliyoahidi ikiwemo ajira lakini hawajafanya. Binafsi ulikuwa Mdahalo wangu bora.”

Harris amesema "Nitakuwa Rais ambaye nitalinda Haki za Msingi na Uhuru, ikiwemo Haki ya Mwanamke kufanya maamuzi yake na mwili wake na sio kuwa suala la Serikali kumwambia nini cha kufanya.”

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso