DCEA YAKAMATA TANI 1.8 ZA SKANKA DAR ES SALAAM - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 10 September 2024

DCEA YAKAMATA TANI 1.8 ZA SKANKA DAR ES SALAAM

 

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika tarehe 28 Agosti, 2024 hadi tarehe 02 Septemba, 2024 katika maeneo ya Luguruni Mbezi na Magomeni jijini Dar es Salaam ambapo watuhumiwa watano (05) wamekamtwa kuhusiana na dawa hizo.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso