BUNGENI : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 5 September 2024

BUNGENI : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge Sera na Uratibu, William Lukuvi, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchi kutoka Jimbo la Same Mashariki waliotembelea Bunge jijini Dodoma Septemba 5, 2024 kwa mwaliko wa Mbunge wao, Anne Kilango Malecela (kulia kwa Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kaika picha ya pamoja na wananchi kutoka wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara waliotembelea Bunge jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalum, Asia Halamga (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso