BOBI WINE APIGWA RISASI NA POLISI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 3 September 2024

BOBI WINE APIGWA RISASI NA POLISI


Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza kuwa polisi walimpiga msanii huyo risasi ya mguu.

Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na polisi kuhusu tukio hilo.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso