AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA KITABU CHA MIAKA 60 YA JWTZ - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 1 September 2024

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA KITABU CHA MIAKA 60 YA JWTZ


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.

Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso