WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KIST - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 27 August 2024

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KIST




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2024 anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).


Hafla hiyo unafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.


Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni “_Uimarishaji wa Taaluma ya Uhandisi Ujenzi kwa Maendeleo Endelevu ya Nchi_”

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso