UKREINE YADUNGUA NDEGE ZA URUSI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 14 August 2024

UKREINE YADUNGUA NDEGE ZA URUSI



UKRAINE : Jeshi la wanahewa la Ukraine limesema limedungua ndege 17 kati ya 23 zilizorushwa na Urusi.  


Ndege hizo zisizo na rubani zilidunguliwa katika maeneo ya Kyiv, Kharkiv, Kirovohrad, Cherkasy, Mykolaiv, Sumy, Zhytomyr na Zaporizhzhia, jeshi la anga limesema.


Miundombinu iliharibiwa katika mikoa ya Kaskazini ya Chernihiv na Zhytomyr, na nyumba mbili zilishambuliwa huko Mykolaiv kusini - lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.

chanzo;habarileo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso