OKOA MAISHA KWA KUTUMIA NISHATI SAFI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 22 August 2024

OKOA MAISHA KWA KUTUMIA NISHATI SAFI



Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.



#KizimKaziImeitika

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso