Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita ameanza rasmi hapa kijiji cha Bulige Halmashauri ya Msalala kukimbiza Mwenge wa Uhuru kwa KM 317.2 ndani ya Wilaya ya Kahama ambapo Mwenge utakimbizwa Kilomita 317.2 kuifikia jumla ya ya miradi 24 yenye zaidi ya jumla ya Tzs. Bilioni 16.8 katika Halmashauri ya Msalala, Ushetu na Kahama Manispaa.


No comments:
Post a Comment