RAIS DK. MWINYI AZINDUA BUSTANI YA MNAZI MMOJA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 15 July 2024

RAIS DK. MWINYI AZINDUA BUSTANI YA MNAZI MMOJA







Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kutunza mazingira na kuweka haiba ya mji kuwa safi.


Rais Dk.Mwinyi aliyasema hayo leo leo tarehe: 15 Julai 2024, alipofungua Bustani ya Mnazi Mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.



Rais Dk. Mwinyi amesema lengo la bustani hiyo ni kwa ajili ya mapumziko kwa wageni wanaotembelea vivutio vya utalii na wananchi wanao kwenda kuwaangalia wagonjwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja.



Kwa upande mwingine Rais Dk. Mwinyi ameipongeza kampuni ya Infinity Development na Mamlaka ya Mji Mkongwe kwa kujenga bustani hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso