MWENYEKITI WA VIJANA TAIFA WA NCCR MAGEUZI NA WANACHAMA WENZAKE WAHAMIA CCM MAKALLA ASEMA BADO WAPO WENGI WATAHAMIA CCM - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 15 July 2024

MWENYEKITI WA VIJANA TAIFA WA NCCR MAGEUZI NA WANACHAMA WENZAKE WAHAMIA CCM MAKALLA ASEMA BADO WAPO WENGI WATAHAMIA CCM





Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu CPA Amos Makalla leo amewapokea Wanachama wa Chama cha NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Mwenyekiti wa Vijana Taifa wakihamia CCM pamoja na Wanachama wa CUF .


CPA Makalla amesema wapo wengi watahamia CCM kwani Vitu walivyokuwa wanavipigania vyote Dkt Samia Suluhu Hassan ametatua hivyo hawabudi kumuunga Mkono, Zaidi Wanachama 51 wamepokelewa Leo kutoka Vyama vya Upinzani.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso