MHESHIMIWA MAJALIWA MGENI RASMI KILELE CHA BARAZA LA MAASKOFU WA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 19 July 2024

MHESHIMIWA MAJALIWA MGENI RASMI KILELE CHA BARAZA LA MAASKOFU WA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA

Mheshimiwa Majaliwa ni mgeni rasmi katika kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TAG, Miyuji jijini Dodoma Julai 19, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania (CPCT) Dkt. Barnabas Mtokambali vitendea kazi vya baraza hilo ikiwemo Dira ya Maendeleo. 

Mheshimiwa Majaliwa ni mgeni rasmi katika kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TAG, Miyuji jijini Dodoma Julai 19, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso