ARGENTINA YATWAA UBINGWA WA COPA AMERICA 2024 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 15 July 2024

ARGENTINA YATWAA UBINGWA WA COPA AMERICA 2024




Nahodha wa Argentina, Lionel Messi ameiongoza Timu yake ya Taifa kutwaa Ubingwa wa Copa America 2024 kwa kuifunga Colombia goli 1-0 katika Mchezo wa Fainali


Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa 0-0, zilipoongezwa dakika 30 ndipo Lautaro Martinez akapatia Argentina goli dakika ya 112


Argentina ambayo imetwaa Ubingwa huo mara 16 ikiwa ndio timu ililichukua mara nyingi zaidi, imefanikiwa kutetea Ubingwa huo ilioubeba Mwaka 2021 kwa kuifunga Brazil goli 1-0


Timu zinazofuatia kwa kutwaa Copa America mara nyingi ni Uruguay (15), Brazil (9), Paraguay (2), Chile (2) na Peru (2)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso