UZINDUZI WA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIRUTUBISHI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 15 June 2024

UZINDUZI WA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIRUTUBISHI



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho Felix Church, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi (premix blending plant), cha kampuni ya SANKU – PHC Tanzania.


Viongozi wengine walioshiriki katika hafla hiyo ni Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud

"Mikoa yenye viwango vikubwa vya upungufu wa damu na udumavu anzeni kutekeleza mpango wa urutubishaji wa chakula kuanzia ngazi ya vijiji" Waziri Mkuu Kassim

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso