RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 18 June 2024

RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum kuhusu Kutathmini hali ya Utendaji na Uchumi kwenye Vyombo vya Habari Tanzania Bara kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mwandishi Mbobevu Tido Mhando wakati wa Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024. Picha na IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye kabla ya kufungua Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.

Baadhi ya Wanahabari Wabobevu wakiwa kwenye Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, Maafisa Habari wa Serikali pamoja na Taasisi mbalimbali kabla ya kufungua Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso