MBAPPE ASAINI REAL MADRID MSHAHARA TSH BILIONI 42 KWA MWAKA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 4 June 2024

MBAPPE ASAINI REAL MADRID MSHAHARA TSH BILIONI 42 KWA MWAKA

 




Baada ya kuachana rasmi na Klabu ya Paris Saint-Germain akiwa mchezaji huru, Kylian Mbappe (25) amejiunga na kikosi cha Real Madrid baada ya kusaini Mkataba wa Miaka Mitano


Real Madrid imethibitisha kumsaini Mbappe ikiwa ni siku chache baada timu hiyo kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kwa kuichapa Borussia Dortmund kwa Magoli 2-0


Taarifa zinaeleza mkataba huo unaenda sambamba na Mshahara wa takriban Pauni Milioni 12.8 sawa na zaidi ya Tsh. Bilioni 42 kwa Mwaka, Tsh. Bilioni 3.5 kwa mwezi au Tsh. Milioni 875 kwa wiki




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso