MAKABIDHIANO YA OFISI LEO 15/06/2024. - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 15 June 2024

MAKABIDHIANO YA OFISI LEO 15/06/2024.



Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi(Kulia) amemkabidhi Ofisi Mkuu wa Wilaya ya Momba Mheshimiwa Elias Daniel Mwandobo.


Makabidhiano hayo yamefanyika mbele ya Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Momba, Wenyeviti wa Halmashauri Mheshimiwa Mlimba na Mheshimiwa Chikoti pamoja na Watumishi wa Halmashauri za Momba na Tunduma mji wakiongozwa na Wakurugenzi Bi. Mariamu Chaurembo Bw.Fabian Manoza.


Katika makabidhiano hayo walihudhuria pia wakuu wa Taasisi zote za Umma pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Momba wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndugu Silvester na Katibu wake Ndugu Kataba.


Makabidhiano hayo yamefanyika makao makuu ya Wilaya ya Momba yaliyopo Tindingoma.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso