WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA SADC - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 20 May 2024

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA SADC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).



Waziri Mkuu anashiriki Mkutano huo kwa njia ya mtandao kutokea kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu  Mlimwa  jijini  Dodoma.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso