RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuhakikisha wanapitia na kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili kujibu hoja zilizotolewa.
Rais Samia ameyasema hayo leo, Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuapisha viongozi wateule wa ngazi mbalimbali za uongozi nchini
“Ripoti ya CAG ikafanyiwe kazi na hoja zijibiwe haraka ‘immediately’,” amesema Amiri Jeshi Mkuu.
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment