BASHUNGWA AWASILI MKOANI KATAVI KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIUNDO MBINU - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 8 April 2024

BASHUNGWA AWASILI MKOANI KATAVI KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIUNDO MBINU


WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Mpanda, mkoani Katavi katika ziara yake ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, leo Aprili 8, 2024.



Katika ziara hiyo, Waziri Bashungwa atakagua utekelezaji wa miundombinu ya barabara ikiwemo ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Sitalike - Kibaoni (km 70) iliyopo katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilayani Mlele Mkoani Katavi.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso