Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Richard Kiiza.
Taarifa hiyo ya utenguzi imetolewa Machi 15, 2024 na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhura Yunus, haijaweka bayana sababu ya hatua hiyo.
No comments:
Post a Comment