KINANA AZURU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 12 December 2023

KINANA AZURU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.

Leo Disemba 12, 2023, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzuru na kufanya sala kwenye kaburi hilo, Chato mkoani Geita.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.

Chanzo: fullshangwe

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso