RAIA WA KENYA WAKAMATWA TANGA KWA MATUKIO YA WIZI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 22 September 2023

RAIA WA KENYA WAKAMATWA TANGA KWA MATUKIO YA WIZI


Jeshi la polisi mkoani Tanga limekamata raia wawili kutoka nchini jirani ya Kenya wakituhumiwa kufanya matukio ya wizi kwenye magari.


Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa Tanga, Almachius Mchunguzi amewataja watuhumiwa kuwa ni Idrisa Kassim (24) na Samweli Mwenda, ambao walikamatwa Septemba 12 mwaka huu, Barabara ya 13 jijini Tanga.


Amesema watuhumiwa hao walikamatwa vitu mbalimbali vya wizi ikiwemo rimoti ambazo zinatumika kufungua milango ya magari pamoja na mageti.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso