MIZIKI YA VIGODORO IPIGWE MARUFUKU - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday 11 August 2023

MIZIKI YA VIGODORO IPIGWE MARUFUKU

Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini.
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda


Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo amesema kuwa vigodoro vimekuwa vikisababisha madhara makubwa kwa jamii na kupelekea tabia za ubakaji kukithiri kwa namna ambavyo wanawake wamekuwa wakivaa nguo zisizo na stara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso