Rais Samia amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri na Kumteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa. Na Dkt Stengomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Na uapisho wa walioteuliwa utafanyika tarehe 03 Octoba 2022 saa 3;00 asubuhi Ikulu ya Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment