DKT MPANGO, MAKAMU WA RAIS AHESABIWA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 23 August 2022

DKT MPANGO, MAKAMU WA RAIS AHESABIWA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakizungumza na Karani wa Sensa Isack Mgosho wakati walipokuwa wakihesabiwa katika Makazi yao Chanika Jijini Dar es salaam leo tarehe 23 Agosti 2022 kwenye Shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso